Home NGOMO MEDIA WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix.

WIKI MOJA YA PUNGUZO LA BEI KWA SIMU ZA Infinix.

63
SHARE

Kuanzia
tarehe 8/4-14/4 2019 simu za Infinix zitakuwa katika punguzo la bei
kupitia soko la mtandaoni lifahamikalo kama Jumia na punguzo hili
kufanyika kwa wiki moja ya 
JUMIA
MOBILE WEEK
.
JUMIA MOBILE WEEK ni wiki madhubuti kwajili ya kuuza simu kwa bei ya
punguzo, na safari hii simu za Infinix ikiwamo Infinix ZERO
6
 na Infinix HOT
7
 ni miongoni mwa simu zitakazopatikana kwa bei ya punguzo. Jumia
mobile week imeanza rasmi tarehe 8/4-14/4 2019.

Infinix
Mobile Tanzania
 inatumia nafasi hii kuingiza simu za Infinix
katika JUMIA MOBILE WEEK ikiwamo simu zilizoingia sokoni mwishoni mwa
mwezi wa tatu kwa dhumuni la kufanya kila mtanzania aweze kuhamia
katika ulimwengu wa kidijitali, ulimwengu unaoaminika kuwa suluhisho
hata kwa yale yanavyoshindikana kufanyika kwa muda mfupi. 

Na
ukiondoa matumizi ya simu kuwa kwajili ya mawasiliano tu lakini
Infinix inatambua umuhimu wa simu hasa kwa matumizi ya kujiongezea
kipata mfano Infinix ZERO 6 kupitia uwezo wake wa kamera unapata
picha sasa hii kuwa ni chombo cha biashara. 

sifa kuu ya Infinix ZERO 6 ni kamera, Infinix ZERO 6 imewekwa nguvu
nyingi upande wa kamera nyuma ikiwa na MP 12+MP 24 zenye kupiga
picha/picha jongefu na mng’ao  wa hali ya juu sana, na
kamera ya mbele ni MP 20. Katika kuhakikisha Infinix ZERO 6 inakupa
picha yenye uhalisia ya mazingira husika ndipo teknolojia ya
Artifficial Intelligence inapofanya kazi yake.

Kwa
asilimia 100% Infinix ni kampuni yenye kujali wateja wake pamoja
yakuwa Infinix HOT7 inapatikana kwa bei chee katika maduka ya Infinix
lakini bado ni miongoni mwa simu zilizopo katika jumia mobile week.
Infinix HOT 7 inasifika kwa kupiga muziki mzuri na hii ni kutoka na
DIRAC MODE iliyopo ndani ya Infinix HOT 7. 


Na
kwa simu yoyote ya Infinix utakayonunua ndani ya mobile week itakuwa
na warranty ya mwaka mmoja.